e nkwasi JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 381 Reaction score 283 Mar 11, 2019 #1 Habari wanajamvi, naomba mwenye ufahamu juu ya mnada wa Magari bandarini. Hasa kwenye uzima wa hizo gari, na taratibu za kukamilisha umiliki. Je ina usumbufu na gharama zaidi au kuna unafuu? Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wanajamvi, naomba mwenye ufahamu juu ya mnada wa Magari bandarini. Hasa kwenye uzima wa hizo gari, na taratibu za kukamilisha umiliki. Je ina usumbufu na gharama zaidi au kuna unafuu? Sent using Jamii Forums mobile app
Lyamber JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 11,737 Reaction score 18,935 Mar 11, 2019 #2 Mkuu bandarini wanauzaga magari kwa kitu kinachoitwa "Sold as It is" yani kitu kinauzwa kama kikivyo
e nkwasi JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 381 Reaction score 283 Mar 12, 2019 Thread starter #3 Lyamber said: Mkuu bandarini wanauzaga magari kwa kitu kinachoitwa "Sold as It is" yani kitu kinauzwa kama kikivyo Click to expand... Duh, kwa maana hiyo ni kwamba any faults zinakua juu ya mnunuaji? Hapo kuna mtihani Sent using Jamii Forums mobile app
Lyamber said: Mkuu bandarini wanauzaga magari kwa kitu kinachoitwa "Sold as It is" yani kitu kinauzwa kama kikivyo Click to expand... Duh, kwa maana hiyo ni kwamba any faults zinakua juu ya mnunuaji? Hapo kuna mtihani Sent using Jamii Forums mobile app