Msaada "juu ya mjuzi wa lugha"

Msaada "juu ya mjuzi wa lugha"

ANKO THOBIAS

Member
Joined
Sep 16, 2013
Posts
21
Reaction score
0
Tunaposema kuwa mtu fulani anajua lugha tunamaana gani? anajua nini hasa? eleza kwa hoja ukitoa mifano iliyohai
 
Basically...tukisema hivyo tunamaana kwamba muhusika huyo ajue mambo kadhaa:
1;Kuiongea lugha husika.
2,Kuisikiliza
3,kuiandika kwa ufasaha
4,Kuisoma.
 
Back
Top Bottom