A ANKO THOBIAS Member Joined Sep 16, 2013 Posts 21 Reaction score 0 Nov 1, 2013 #1 Tunaposema kuwa mtu fulani anajua lugha tunamaana gani? anajua nini hasa? eleza kwa hoja ukitoa mifano iliyohai
Tunaposema kuwa mtu fulani anajua lugha tunamaana gani? anajua nini hasa? eleza kwa hoja ukitoa mifano iliyohai
Time Bandit JF-Expert Member Joined May 22, 2013 Posts 615 Reaction score 321 Nov 1, 2013 #2 Basically...tukisema hivyo tunamaana kwamba muhusika huyo ajue mambo kadhaa: 1;Kuiongea lugha husika. 2,Kuisikiliza 3,kuiandika kwa ufasaha 4,Kuisoma.
Basically...tukisema hivyo tunamaana kwamba muhusika huyo ajue mambo kadhaa: 1;Kuiongea lugha husika. 2,Kuisikiliza 3,kuiandika kwa ufasaha 4,Kuisoma.
MeinKempf JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 11,093 Reaction score 7,229 Nov 1, 2013 #3 ANKO THOBIAS said: Tunaposema kuwa mtu fulani anajua lugha tunamaana gani? anajua nini hasa? eleza kwa hoja ukitoa mifano iliyohai Click to expand... Unamaanisha "prescriptivist"?
ANKO THOBIAS said: Tunaposema kuwa mtu fulani anajua lugha tunamaana gani? anajua nini hasa? eleza kwa hoja ukitoa mifano iliyohai Click to expand... Unamaanisha "prescriptivist"?