Msaada juu ya Mount Meru University(MMUE)

Msaada juu ya Mount Meru University(MMUE)

JB MUNA

Senior Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
147
Reaction score
17
WanaJF naombeni msaada wenu kuhusu Chuo Kikuu cha Mount Meru University eti pia kinatoa stashahada ya ualimu kwa walimu wa grade A wenye at least D 5 cheti cha O-level ila nasikia ukifika unatakiwa kufanya mtihani wa A-level kwanza huku ukiendelea kusoma masomo ya stashahada?Ni kweli wanaJF?Kama kuna yeyote anajua kuhusu hili swala basi naombeni msaada wa hali na mali pia naomba na anuani yao!NAWASILISHA KWENU NDUGU ZANGU.
 
Usidanganyike ukifungua website ya MOET wameeleza sifa sahihi kbs kati ya vyuo vya serikali na binafsi tembelea hiyo website upate maelekezo.
 
Kapistrano asante ntaangalia website ya moevt.
 
Back
Top Bottom