Jamani kuna rafiki yangu mke wake amejifungua kwa upreshini ni mwezi wa 3 sasa na mke wake amerudi kwake juzi pamoja na kitoto chake.
Tatizo ni kua unajua tena mwanamke na mwanamme yawakai pamoja sasa mume anataka apewe haki yake na mke anasema kua upresheni wake ulikua ni mkubwa kwa hio kaambiwa akae kwa miezi 6.
Suali ni jee kwa upresheni huo jamaa haruhusiku kugegeda kwa miezi 6 au asibebe ujauzito kwa miezi hio?
Au anaweza kugegeda ili wawe makini kwani fuko la uzazi litakua halina uwezo wa kukaa mtoto.
Mitazamo yote naisubiria ya kiafya kidini kijamii na mitazamo binafsi