Msaada juu ya namna ya kuclear mkopo posta

COMMAN

Senior Member
Joined
May 1, 2012
Posts
110
Reaction score
47
Ndugu wanajamii forum.mm ni mtumishi .nlikopa mkopo benk ya posta.sasa nmepata hela ya kuwalipa mkopo wao.lakini.wanagoma kutoa riba.wanataka nlipe yote.naomba mnisaidie ni sawa .au ni ujanja ujanja tu.
 
Jamani naombeni msaada wenu
 
Upo karibu na tawi gani la benki ya posta? Kitu ambacho unatakiwa kufanya ni kuuliza outstanding balance ya mkopo wako ni sh ngapi kwa Tarehe husika na hapo ndipo uta deposit hicho kiasi chote cha pesa riba haiwezi kuhesabiwa yote mpaka ya miezi yote iliobakia ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…