salam kwenu wanajamnvi..!!!
Wadau naomba msaada wenu kwa yeyote anayejua ni wapi zinapatikana mabalo/marobota mazuri ya nguo mixer za watoto kuanzia O-5 ya grade ya kati na pia naomba kwa anayejua ni sehem gani naweza kupata soko zuri nikimaanisha sehem nzuri ambayo naweza kuuza na mzigo ukawa na mnguzuko mzuri na wa haraka maana mimi sina uzoefu kabisa na biashara hii ila katika kuuliza uliza nimeambiwa inalipa japo sijui changamoto zake!!
Mimi nipo Dar na nipo tayari kuuza popote hata kama ni kwenye minada iliyopo pembezoni mwa mji au hata kama ni nje ya mji ilimradi inalipa bajeti yangu ni tsh 400,000/=
Hivyo wakuu naomba msaada wenu kwa yeyote anayeweza kunipa mwangaza kwenye hili ili na mimi niweze kujikwamua kiuchumi!!
Pia nakaribisha mchango wowote wa utakaoniwezesha kujikwamua kiuchumi kwa kua ninaweza kubadilika kulingana na hali na wakati!!
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wote watakaoguswa na hili!!