Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una centimetres 5 kwa 5 na upande wa kushoto wa tumbo umevimba napata maumivu makali ata nikitembeaPole Kipenzi !!.
Kama tayari hizo Cysts zimeshavuka zaidi ya sentimita 5, ni wakati Sasa wa kuziondoa Kwa njia ya Upasuaji.
Ni Asilimia chache sana ya Wanawake tena wale ambao wako tayari juu ya umri wa ukomo wa hedhi na ambao cysts zao hazihusiani kabisa na uchavushaji wa yai ndio huishia kupata Kansa.
Kwako wewe, unaweza kupambana na shida kama
-Maumivu makali sana hasa kama cysts zimekua twisted.
-Zikapasuka hasa wakati wa Kula tunda Kimasihara pale jamaa atakapopeleka moto haswaa na moto wa ndanindani kabisa na kupelekaa
-Kuvuja Kwa Damu nyingi na Maambukizi !!.
Pole kwa tatizo, Mungu Mkuu Akufanyie Wepesi wa Uponyaji.Naomba kujua,
Nona ovarian cysts kwa maana nmenda hospitali nikapewa dawa lakini unaendelea kuongezeka na wasiwasi wangu ni kwamba inapelekea cancer ya kizazi au laah!