Msaada juu ya rough dread

Nadhani ni yale yale wanayotengenezea dread locks..... jinsi ya kuzitunza ni vema ukanunua sponge ile special kwa ajili ya Rough (kama huna lakini) Kila baada ya siku tatu unazipaka mafuta ya maji mfano Castor oil, Olive oil au jojoba kisha unazi roll na hilo sponge.... trust me kila siku utakua na muonekano safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…