Msaada juu ya sheria inayohusu PF3

Msaada juu ya sheria inayohusu PF3

kioju

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
804
Reaction score
271
Wakuu habari za sahizi naomba kujulishwa juu ya hii huduma ya PF3 inayotolewa na Polisi kwa wanaopata majeraha na wanahitajika kutibiwa, je ni sheria gan inayo ipa uhalali hii form kutumika? lakini nataka kujua pia kuna uwezekano wa mahakama kuadhibu awayeyote atakayeshindwa kufuata sheria hii? nahitaji msaada wenu jaman kwasababu hii kitu inanikera sana kwanini inasababisha ndugu zetu wanakufa sana
 
Back
Top Bottom