msaada juu ya sheria ya kutaka kukabidhiwa ofisi.

Mr.kibulala

Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
58
Reaction score
20
wanajf,mi ni mtumishi takrbni 3yrs,toka nimeajiriwa cjakabidhiwa ofic,kwni aliypo hana cfa,aliazimwa kw mda 2 htaki toka
 
ofisi ya serikali au private sector? Weka mazingira yote usaidiwe
 
ofisi ya serikali,jamaa aliazimwa toka idara tofauti kutokana upungufu wa watumishi kwa kpnd hcho na jamaa hana sifa
 
Waeleze wakuu zako wamfurumishe.....kwa vile wao ndo walimwazima pengine bado wanamhitaji. Waulize wao. Ushamaliza 'probation'? Wameku-confirm?
 
cheki na mkurugenzi au utumishi wenu,je wewe binafsi umemaliza probation?na je hatma ya uyu mloazimwa inakuweje baada ya ww kuja? ila sijaelewa iyo ofisi yenu,inakuweje unaletwa mtumishi mpya kushika wadhifa na hawakupi mwongozo wa kazi?yan wewe ndo uhangaike?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…