pamiho JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 271 Reaction score 36 Jan 30, 2011 #1 Salaam wana JF. Natumia data analysis software (SPSS) nimekwama kwenye kipengele cha ANOVA jinsi ya kuelezea. Mwenye kujua vema tafadhali naomba anisaidie. :embarrassed:
Salaam wana JF. Natumia data analysis software (SPSS) nimekwama kwenye kipengele cha ANOVA jinsi ya kuelezea. Mwenye kujua vema tafadhali naomba anisaidie. :embarrassed: