Msaada juu ya swala hili

Finest

Member
Joined
Mar 27, 2015
Posts
49
Reaction score
14
Leo nimeenda kuanza clinic nimepima vipimo vyotee na kuchoma chanjo lakini huwa naskia ukianza clinic unapewa dawa za kuongeza damu mie sijapewa kitu nimepangiwa tu tarehe ya kurudi is it right au wamesahau mwenye experience naomba tushare
 
Acha hofu, hivyo vidonge wanapewa wenye matatizo, umeonekana uko fiti, hivyo fuata ushauri unaopewa na hao wataalamu usiongeze wa kwako kwa kuiga
 
Chanjo gani tena mkuu... maana hii serikALI inatisha ...kila kona ipo
 
Leo nmeenda kuanza clinic nmepima vpimo vyotee na kuchoma chanjo lakn huwa naskia ukianza clinic unapewa dawa za kuongeza damu...mie sijapewa ktu mepangiwa tu tarehe ya kurudi is it right au wamesahau mwenye experience naomba tushare
Nenda maabara ukapime hb, wakati mwingine manesi wanajisahau!

Kapime ijulikane una damu kiasi gani,
 
Kwanza hujapambanua, kliniki ya ujauzito au upungufu Wa kunga mwilini?
 
Acha hofu, hivyo vidonge wanapewa wenye matatizo, umeonekana uko fiti, hivyo fuata ushauri unaopewa na hao wataalamu usiongeze wa kwako kwa kuiga
Sio kweli vidonge vya kuongeza damu ni lazima kwa mama mjamzito anapoanza clinic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…