Msaada juu ya tatizo hili ukeni

Msaada juu ya tatizo hili ukeni

Joined
Aug 1, 2014
Posts
34
Reaction score
14
Wapendwa, naomba mwenye kunisaidia juu ya hili, mke wangu anatokwa na maji meupe mazito yenye rangi ya maziwa yasiyokuwa na harufu ukeni. Naomba kujua ni tatizo? Na kama ni tatizo basi ni tatizo gani na tiba yake ni nini? Madaktari please nisaidieni, na wengine wenye uzoefu juu ya hilo naomba pia mnisaidie.
 
Ni gonjwa la zinaa linaitwa candidiasis,mwone doctor haraka ukichelewa laweza kuharibu kizazi.
 
Back
Top Bottom