Mr Mike JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 220 Reaction score 460 Sep 6, 2016 #1 Wanajanvi ni matumaini hamjambo,, Naomba ushauri juu ya tatizo la masikio ambalo nmelpata ghafla,, tatizo lenyewe ni kelele nyingi kichwan hali inayopelekea kutokusikia sauti znazotoka nje,, natanguliza shukrani Wakuu
Wanajanvi ni matumaini hamjambo,, Naomba ushauri juu ya tatizo la masikio ambalo nmelpata ghafla,, tatizo lenyewe ni kelele nyingi kichwan hali inayopelekea kutokusikia sauti znazotoka nje,, natanguliza shukrani Wakuu