waliomaliza 2012 bado TCU hawajafungulia application!
ni vizuri ukisubiri results, kama alivosema mdau hapo huu tsh.30,000 itahusika pale CRDB.
nyie ni 2012/13 hao wa 2011/12 now ni 1st yr.
keep on waiting!
Mzee application imefunguliwa kwa wale waliohitimu miaka ya 1988 hadi 2011.Waliomaliza 2012 ni hadi matokeo yao yatoke. Vocha inauzwa NBC Tsh 30,000 na sio CRDB kama wanavyosema wadau. Nakushauri usome kwa makini sana ile "Student's Guidebook kabla haujaanza chochote! Maelezo yote yapo kule.