Msaada juu ya Toyota Raum yangu

Yeah ndo inavyofanya
Maana ya hayo maneno (google translate) ni "Contact your dealer" ..

Kuna Raum ilikuwa na tatizo kama hilo. Shida ilikuwa ni mlango huo wa umeme wa nyuma na hasa kitasa/mkono wa nje wa kufunga/kufungulia mlango utakuwa umelegea.
 
Ni kweli kiongoza maana hata hiyo power door ni shida haifanyi kazi kwa ufanisi
 
mkuu na mimi nina raum new model, hilo tatizo hunitokea pindi maji yakiingia ndani ya milango, sensor inashindwa kusoma, nilipogungua hivyo nakuwa makini ninapoipeleka kuoshwa nahakikisha milango imefungwa vizuri anapotumia ile mashine ya pressure.

pia, kipindi cha mvua kufungua ile milango na kuacha maji yaingie husababisha ilo tatizo.

solution. iweke kwenye jua ikauke itarudi kuwa normal, na chukua tahadhari unapopeleka car wash au kipindi cha mvua.
 
Maana ya hayo maneno (google translate) ni "Contact your dealer" ..

Kuna Raum ilikuwa na tatizo kama hilo. Shida ilikuwa ni mlango huo wa umeme wa nyuma na hasa kitasa/mkono wa nje wa kufunga/kufungulia mlango utakuwa umelegea.
Aisee. Mwenzenu napata elimu tu. Maana haka kagari nakaota usiku na mchana. Kama sio hiyo basi niibuke na Premio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…