silent vin
Member
- Jul 20, 2017
- 10
- 5
Hiyo gari imepitwa na wakati. Simshauri mtu anunue RAV 4 au ESCUDO SUZUKI. Ni kama Landroveer 109. Zishapitwa na wakati na hakuna ushauri utakaokusaidiaNakushauri gonga search button, zimeshajadiliwa sana humu.
Electric function yake ikifail utalia na ngae. Nimekuwa nayo miaka minne ilivyonigharimu najua mwenyewe. Magari karibu yote yanayotumia umeme ni shida. Kuna mafundi ambao nis special kwa haya magari ila wengi ni wale ma engineer walisosomea Mechanical siyo mafundi wa mitaani. Utaliwa.Mkuu rav4 hazinaga shida wala usumbufu wowote
Zina sifa4
Unywaji wa mafuta
4WD pia ipo juu
Good for paking
Famjly car yaani ina nafasi ndani kubwa tu
Mkuu gari ni matunzo na kuijali service tu
Lkn rav4 ni roho ya paka[emoji1321]
Electric function yake ikifail utalia na ngae. Nimekuwa nayo miaka minne ilivyonigharimu najua mwenyewe. Magari karibu yote yanayotumia umeme ni shida. Kuna mafundi ambao nis special kwa haya magari ila wengi ni wale ma engineer walisosomea Mechanical siyo mafundi wa mitaani. Utaliwa.
Ulivyosema ndo nilifanya lakini baada ya kunizimikia nikiwa porini. Ilibidi tuombe msaada kwa wapita njia wakawezakutusaidia ili tufike kwa huyo mwenye mashine.Mkuu dunia ya leo gari zilizopo chini ni 85% zinatumia umeme(electric functions)fuel injections.Magnetor with Control Box
Hio yako ilikutesa kwasbb uliipeleka mafundi wa mitaani wakaikorokochoa CONTROL BOX naimani ulitamani hata uitupe gari
Gari za sasa ukishaona zinasumbua mpe fundi mwenye DIOGNOSTIC MACHINE anaicheki fasta tu tena gharama yake haizidi hata elf50, papo hapo anakwambia tatizo lilipo[emoji1321]
Ulivyosema ndo nilifanya lakini baada ya kunizimikia nikiwa porini. Ilibidi tuombe msaada kwa wapita njia wakawezakutusaidia ili tufike kwa huyo mwenye mashine.
Hapana sababu magari yetu yanafanyiwa service kwenye UN yard na kuna facilities zote.Kabla ya kupata matatizo hayo wewe ulimplekea fundi sio[emoji1321]
Hapana sababu magari yetu yanafanyiwa service kwenye UN yard na kuna facilities zote.
Hahaha wenzio sasa wana engineers ambao wamesomea. Ila wacha tu.Daaaahh[emoji35][emoji35]
Tena hao ndio ma Boy Spana usinitie jazba na hasira nikaikumbuka gari yangu Toyota hilux nlijipa imani na kamoyo ati mafundi wa UN *****
Havijui loooolooote[emoji13][emoji13]
Wale sio wapumbavu mimi ndio mpumbavu kuwapelekea wale[emoji1321]
Hiyo gari imepitwa na wakati. Simshauri mtu anunue RAV 4 au ESCUDO SUZUKI. Ni kama Landroveer 109. Zishapitwa na wakati na hakuna ushauri utakaokusaidia
Hiyo 3rd generation ya RAV4 ni nzuri sana na wala haina tatizo lolote ikiwa utaitunza zipo za all wheel drive (AWD) na front wheel drive FWD na ina engine ya 2AZ-Fe 2400cc vilevile 2GR-Fe 3500cc na ipo pia inayotumia diesel ingawa sio common sana.Nilikuwa nauliza kwa wanaoijua aina hii ya rav 4 kunijuza juu ya uimara wake kwenye road na maintainance yakeView attachment 761021