Msaada juu ya uagizaji gari

Msaada juu ya uagizaji gari

Ngahekapahi

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2012
Posts
553
Reaction score
367
Tafadhali wakuu kichwa cha habari hapo juu chahusika ningependa kujua kutoka kwa wale wazoefu waliowahi kufanya swala hili. Je ni company gani ambayo ni reputable na ina magari mazuri ambayo yana low mileage maximum 50000km. My plan ni kuagiza toyota verossa v25. Na mchakato mzima unakuwaje?

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Hizo milage wanazichakachua sana tu

Ila kampuni nzuri ni SBT ya japan kuna autorec na befoward; ila befoward ukiagiza moja kwa moja wana tabia ya kukubadilishia gari; kosa ni wakipokea mpunga tu
 
So kwa beforward ipi ni njia nzuri mkuu? SBT nineona magari yao mengi mileage kuanzia 100000 na kuendelea autorec wana ofisi hapa dar?
 
So kwa beforward ipi ni njia nzuri mkuu? SBT nineona magari yao mengi mileage kuanzia 100000 na kuendelea autorec wana ofisi hapa dar?

Real motor pia sio wabaya . Kama upo serious ni pm
 
Sijawah kukutana nayo hii kitu, walikubadilishia ww?
Hizo milage wanazichakachua sana tu

Ila kampuni nzuri ni SBT ya japan kuna autorec na befoward; ila befoward ukiagiza moja kwa moja wana tabia ya kukubadilishia gari; kosa ni wakipokea mpunga tu
 
Back
Top Bottom