Ngahekapahi
JF-Expert Member
- May 8, 2012
- 553
- 367
So kwa beforward ipi ni njia nzuri mkuu? SBT nineona magari yao mengi mileage kuanzia 100000 na kuendelea autorec wana ofisi hapa dar?
Hizo milage wanazichakachua sana tu
Ila kampuni nzuri ni SBT ya japan kuna autorec na befoward; ila befoward ukiagiza moja kwa moja wana tabia ya kukubadilishia gari; kosa ni wakipokea mpunga tu
Jumla kuitoa bandarini inakua shngap?Toyota Vaguard
Model 2009
Km 38000
Cc 1800
21M MPAKA DAR PORT
NITAFUTE 076780329
Sent using Jamii Forums mobile app