K KILENDI JILU New Member Joined Apr 5, 2014 Posts 1 Reaction score 0 Apr 6, 2014 #1 Jamani naombeni mnipe msaada yaani kuna ndugu yangu anaumwa yaani mwili wake unakuwa wa moto(kuwaka moto na sio kuwasha).
Jamani naombeni mnipe msaada yaani kuna ndugu yangu anaumwa yaani mwili wake unakuwa wa moto(kuwaka moto na sio kuwasha).
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,065 Apr 7, 2014 #2 Hosptal mtapata majibu sahihi ni vyema kuwahi mjue tatizo mapena lakn pia hapa utapata mwongozo mzur madaktar wanakuja
Hosptal mtapata majibu sahihi ni vyema kuwahi mjue tatizo mapena lakn pia hapa utapata mwongozo mzur madaktar wanakuja
MKenya halisi. Senior Member Joined Jan 7, 2014 Posts 192 Reaction score 60 Apr 9, 2014 #3 Naona leo ma Doctor wote wa Jf wapo likizo, ushauri wangu ni uwai hospital mapema.
google helper JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 9,623 Reaction score 13,759 Apr 9, 2014 #4 mkenya wahi hospitali haraka