L LOMP JF-Expert Member Joined Sep 12, 2013 Posts 215 Reaction score 21 Mar 28, 2014 #1 salam ziwafikie wote popote mlipo. nina dogo kapata dvn iv ya 33 ila ana "c".je ataweza kuchaguliwa kujiunga na a-level?
salam ziwafikie wote popote mlipo. nina dogo kapata dvn iv ya 33 ila ana "c".je ataweza kuchaguliwa kujiunga na a-level?
Mkoroshokigoli JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 14,593 Reaction score 5,581 Mar 28, 2014 #2 LOMP said: salam ziwafikie wote popote mlipo. nina dogo kapata dvn iv ya 33 ila ana "c".je ataweza kuchaguliwa kujiunga na a-level? Click to expand... Mdau possibility ni ndogo sana,serikal itakuja na utaratibu mpya kabisa,kuna uwezekano hata wa III ya 29 asiende advance,subiri tu wakat wa selection wataweka wazi
LOMP said: salam ziwafikie wote popote mlipo. nina dogo kapata dvn iv ya 33 ila ana "c".je ataweza kuchaguliwa kujiunga na a-level? Click to expand... Mdau possibility ni ndogo sana,serikal itakuja na utaratibu mpya kabisa,kuna uwezekano hata wa III ya 29 asiende advance,subiri tu wakat wa selection wataweka wazi