Wakuu habari za pasaka.
Kama kuna memebr yeyote humu amabe anatokea songea, naomba kufahamu juu ya upatikanaji wa mbolea ya samadi huko. au hata maeneo ya jirani.
Kwa kifupi nategemea kuanza organic farming huko na nitahitaji mbolea hiyo kwa gharama yoyote.
Asantene