Naitwa DERICK REUBEN MBUYA kwa cheti cha kuzaliwa.
Lakini vyeti vyangu vyote vya shule vimeandikwa DERICK R MBUYA.
Manake Jina la kati limefupishwa kama R.
1. Nimefanya Applicationza chuo kupitia NACTE Hii issue ya jina hilo la kati inawezakusababisha nisichaguliwe chuo?
2. Na je pale kwenye space ya kujaza full name katka jina la kati napaswa kuandika REUBEN kama ilivyo katika cheti cha kuzaliwa au niandike R kama ilivyo katika vyeti vya Shule?
Msaada tafadhali.