Jasho la Damu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 956
- 120
wasalaam
Mimi ni binti ambaye nina ndevu kidevuni na nimeomba ushauri ushauri jinsi ya kuzuia na kuondoa kabisa ndevu kuota nimeambiwa nitafute damu ya chura kisha nipake damu hiyo kidevuni baada ya kunyoa hizo ndevu, nimepata mashaka na huu ushauri naomba msaada wenu mwenye utaalam na tatizo hili kama kweli hiyo tiba inaweza ikanifaa.
Ahsanteni