Jasho la Damu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 956
- 120
wasalaam
Mimi ni binti ambaye nina ndevu kidevuni na nimeomba ushauri ushauri jinsi ya kuzuia na kuondoa kabisa ndevu kuota nimeambiwa nitafute damu ya chura kisha nipake damu hiyo kidevuni baada ya kunyoa hizo ndevu, nimepata mashaka na huu ushauri naomba msaada wenu mwenye utaalam na tatizo hili kama kweli hiyo tiba inaweza ikanifaa.
Ahsanteni
Ni imani tu kaka yangu mbona wanawake wengi waliofanikiwa hawana hizo ndevuPole sana. Ila wanasema pia msichana/mwanamke akiwa na ndevu ni ishara ya mafanikio. Unaonaje ukiziacha ili uje kula raha uko mbele?
kwani kuna ubaya gani kupakaa Damu ya chura kwenye hicho kidevu hako? Je ungeliambiwa upakae sehemu za siri ungeliweza kupakaa? Aliyekupa ushauri anajuwa ndio maana amekupa huo ushauri unataka nini tena baada ya ushauri kupewa? fanya uone matokeo yake kisha umpe feedbak aliye kupa ushauri.wasalaam
Mimi ni binti ambaye nina ndevu kidevuni na nimeomba ushauri ushauri jinsi ya kuzuia na kuondoa kabisa ndevu kuota nimeambiwa nitafute damu ya chura kisha nipake damu hiyo kidevuni baada ya kunyoa hizo ndevu, nimepata mashaka na huu ushauri naomba msaada wenu mwenye utaalam na tatizo hili kama kweli hiyo tiba inaweza ikanifaa.
Ahsanteni
Mkuu Mamaafacebook Nimewasaidia watu wengi humu jmvini matokeo yake ni watu wachachewenye kuleta Feedbak wengi wao Hawaleti Feedback wakisha pona hawaji kuleta shukrani zao binadamu sisi hatuna shukrani hata kidogo ukitenda wema nenda zako usingoje shukrani.Mim hua sichoki kukuita huku MziziMkavu msaada wako tafadhali huku
kwa kutoa ushauri wa amekuwa huyo mtu mchawi? basi sisi sote tunaotowa ushauri wa dawa ni wahawi pia. Acha maneno yako ya Pumba hayo kama huna cha kuchangia bora unyamaze kimya kuliko kuropoka ovyo.Huyo aliyekupa ushauri atakuwa mchawi