Msaada juu ya ushuru wa magari bandalini.

chris_gebo1

Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
13
Reaction score
4
Gari aina ya yoyota alteza ya mwaka 2005 ina cc 1980 bei pamoja na CIF n $ 2645. Kwa hesabu zenu wadau hii inawwza kucost kiasi gani kuitoa bandalini?
 
Asante mkuu.

Hiyo calculator ya TRA inatumia CIF ya $2412 wakati wewe CIF yako ni $2645.
Mahesabu ya TRA yanatumia CIF iliyo kubwa kati ya ya kwako na ya kwao TRA.

Nafikiri kwa hiyo ya $2645, kodi itakua 6,160,000 hivi, ongeza na usajili 500,000 inakua Tzs 6.66m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…