lekumok JF-Expert Member Joined Feb 8, 2018 Posts 589 Reaction score 770 Mar 3, 2018 #1 Za jumamosi wapendwa.nisaidieeni mwezenu uti unanisumbua sana.nishaachoma sindano kama mara mbili,vidonge ndio usiseme, lakini hali imerudia tena. Sehemu za Siri nahisi kama inawaka moto,na kwashwa kwa ndani.mwenye uzoefu juu ya hili please
Za jumamosi wapendwa.nisaidieeni mwezenu uti unanisumbua sana.nishaachoma sindano kama mara mbili,vidonge ndio usiseme, lakini hali imerudia tena. Sehemu za Siri nahisi kama inawaka moto,na kwashwa kwa ndani.mwenye uzoefu juu ya hili please
tatum JF-Expert Member Joined Jan 16, 2018 Posts 5,786 Reaction score 4,491 Mar 3, 2018 #2 Umepima nini ukaambiwa una UTI