MpakwaMafuta
Member
- Jan 28, 2011
- 42
- 14
kuna mtu kaniuliza hili.
Je nini madhara ya mimba kutungwa wakati wahusika wamelewa katika unywaji wa pombe wa mtoto hapo badae baada ya kuzaliwa?
Na madhara mengine yaliyopo.