Msaada juu ya utungaji mimba na unywaji wa pombe

MpakwaMafuta

Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
42
Reaction score
14
kuna mtu kaniuliza hili.
Je nini madhara ya mimba kutungwa wakati wahusika wamelewa katika unywaji wa pombe wa mtoto hapo badae baada ya kuzaliwa?
Na madhara mengine yaliyopo.
 
hakuna madhara yoyote mkuu, wewe endelea kukamua tu.
 
tena inaleta stimu sana katika game, hakuna matata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…