Babu Danny
Member
- Apr 2, 2020
- 5
- 4
Nashukru sana, ila sehemu ya kukaa Injini ni ndogo sana kuweza kukaa 3S. na tatizo sio ulaji wa matuta ila ni usumbufu tu wa Injini yenyewe. Nashukuru sana kwa ushauri wako Mkuu.Kama unataka fuel consumption funga injini ya 3s,4s-fe au 1g-fe ila ziwe Vvti.
Kama unataka mbio funga 3s-gte au 1jz-gte.
Kuna BMW series 3 nimeona Geartech Tz wameifanyia modifications wameweka 1jz-gte, unaweza ukawatafuta ili wakushauri kama unataka ufunge mashine za mbio na mod kwenye gari.
Kwanini usiagize Engine yake. Modification kwenye gari za Europe zitakusumbua sana....Wakuu! bila shaka mambo yako sawa! naombeni msaada ni Injini gani naweza kufunga kwenye VW Passat ya Mwaka 2002 na ikafanya Kazi vizuri? Hii gari kwa sasa inatumia Injini Yake AZX -V5 lakini inasumbua sana spare na imeanza kuwa na leakage, nataka kufanya modification ili nifunge Injini ya Toyota au nyingine itakayoweza kukaa vizuri kwenye hilo Bodi kama linavyoonekana kwenye picha! Msaada tafadhari wakuu.View attachment 1407467
Jaribu 5A au 7A, hila performance haitokuwa kubwa sana maana hiyo gari ina uzito mkubwa. Engine inaweza ikawa inapata tabu unapotaka kufika haraka kuanzia speed kubwa, kwa kuwa uwiano wa uzito na nguvu ya injini ni mdogo.Nashukru sana, ila sehemu ya kukaa Injini ni ndogo sana kuweza kukaa 3S. na tatizo sio ulaji wa matuta ila ni usumbufu tu wa Injini yenyewe. Nashukuru sana kwa ushauri wako Mkuu.
Kwanini usiagize Engine yake...... Modification kwenye gari za Europe zitakusumbua sana....
Jaribu 5A au 7A, hila performance haitokuwa kubwa sana maana hiyo gari ina uzito mkubwa.
Engine inaweza ikawa inapata tabu unapotaka kufika haraka kuanzia speed kubwa, kwa kuwa uwiano wa uzito na nguvu ya injini ni mdogo.
Mkuu, 5A na 7A haziwezi kuvuta hilo bodi ni zito sana. Kitu ambacho kinanifanya nifikirie kubadili injini ni ubora wa bodi lake, yani mkiwa Wawili kuisukuma hiyo gari ni shida sana, kwani ni nzito na ina system kubwa za usalama tofauti na gari zengine za kawaida ikiwa barabarani ikiwa ni pamoja na Airbag kila kona.
Mkuu kama upo Dar watafute Geartech Tanzania wapo Kijito nyama. Au chukua mawasiliano yao kwenye page yao Instagram "Geartech Tz".
Ukiwapa gari watakufanyia modifications bila kujali ni gari ya mzungu,mjapani au mmarekani.
Kila kitu kinawezekana.
Wakuu! bila shaka mambo yako sawa! naombeni msaada ni Injini gani naweza kufunga kwenye VW Passat ya Mwaka 2002 na ikafanya Kazi vizuri?...View attachment 1407467
Mkuu, 5A na 7A haziwezi kuvuta hilo bodi ni zito sana. Kitu ambacho kinanifanya nifikirie kubadili injini ni ubora wa bodi lake, yani mkiwa Wawili kuisukuma hiyo gari ni shida sana, kwani ni nzito na ina system kubwa za usalama tofauti na gari zengine za kawaida ikiwa barabarani ikiwa ni pamoja na Airbag kila kona.
boss...unapima uwezo wa engine na body kwa kuangalia HorsePower sio watu wangapi wanaweza kulisukuma gari n.kMkuu, 5A na 7A haziwezi kuvuta hilo bodi ni zito sana. Kitu ambacho kinanifanya nifikirie kubadili injini ni ubora wa bodi lake, yani mkiwa Wawili kuisukuma hiyo gari ni shida sana, kwani ni nzito na ina system kubwa za usalama tofauti na gari zengine za kawaida ikiwa barabarani ikiwa ni pamoja na Airbag kila kona.