MSAADA: JUU YA WATER PROOF POWDER/CEMENT/MATERIALS KWA AJILI YA UJENZI

Full charge

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
1,678
Reaction score
1,617
Habari zenu wajenzi wa taifa hili,natumai mko vizuri kabisa.

Back to the point, naombeni msaada juu ya hizo cement au powder za waterproof nahitaji kufahamu uwezo/ubora/na uimara wake pia nijue na kampuni nzuri inayotengeneza bidhaa hizo.

Je ni kweli zinazuia maji kupenya kwenye ukuta kama tunavyoaminishwa au ni biashara za watu tu?

Je bidhaa hiyo yaweza kukaa kwa miaka mingapi au muda gani kisha nyumba kuanza kuvuja tena?

Je mchanganyo wake unakuwaje maana sisi tunatumia mafundi ambao yamkini hata hawajawahi kukutana na hii kitu ila JF tunaamini kuna madini.

Kifupi tu ndugu zangu napenda sana nyumba za contemporary na na nimeshajenga tayari kwa kufuata maelekezo ya wataalam na nimeshaezeka ila bado tu hiyo waterproof kwaajili ya maji kutonyonywa na ukuta🙏
 
Waliokujengea hukuwauliza?
 
Back
Top Bottom