incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
**HABARI WANA JAMVI* . Sisi ni hitimu wa Elimu ya chuo Kikuu katika chuo kikuu cha Dodoma tunapatikana Dodoma Mjini. Tukiwa kama vijana wahanga wa suala la ajira, Tuliamua kusoma kozi fupi ya Ujasiliamali ambapo tuliweza kujifunza Utengenezaji wa Sabuni za Kimiminika (Liquid soap)
Sabuni zetu ni nzuri sana kwa ajili ya Kufuria na kusafishia vyumba, vyoo vya majumbani, Mahotelini pamoja na Taasisi mbalimbali.
Tumekuwa tukitengeneza sabuni na kuwauzia majirani zetu na watu wachache wanaozitambua bidhaa zetu na wanazipenda sana.
Kutokana na kuwepo wa watu wachache ambao wanewahi kuzitumia sabuni zetu na kuzikubali na kuomba tuwatengenezee imepelekea sisi kupata wazo la kukuza bland yetu ili kutengeneza sabuni kwa wingi na kutafta masoko zaidi.
Kwa kuwa bado hatujakuwa na uwezo wa kutengeneza bidhaa yetu na kuiingiza sokoni rasimi na kutafta namna ya kuuza tumelenga kutengeneza sabuni zetu na kuziuza Chuo kikuu cha Dodoma yaani ndani ya Udom kwa kuwauzia wanafunzi katika Collage zote.
*MAANA YA KULENGA KUUZA BIDHAA ZETU CHUONI.*
KWANZA, chuoni kuna population kubwa ya wanafunzi tunaamini tukipeleka bidhaa yetu tunaweza kupata wateja wengi kulingana na sis wenyewe tunavyoiamini bidhaa yetu.
PILI, chuoni kuna watu wengi na wasomi ambao hata kupitia kuuza bidhaa zetu chuoni inaweza kutupelekea nafasi ya kutangaza bidhaa yetu kwa watu wengi ambao ni wanachuo ambao kesho na kesho kutwa watakuwa raia wa kawaida ambao wanaweza kuhitaji bidhaa zetu hata wakiwa nje ya chuo hali ambayo kwetu inaweza kuwa ni fulsa kwa kukuza bland yetu.
*NJIA AMBAZO TUMEJIPANGA KUZITUMIA KATIKA KUSAMBAZA BIDHAA YETU KATIKA MAENEO YA CHUO KIKUU CHA DODOMA.*
KWANZA, tumepanga kukodi chumba maeneo ya jirani na chuo ambapo chumba hiki kitakuwa ndio ofisi yetu, kwa wenyeji wa Dodoma tumependekeza kukodi chumba maeneo ya Ujasi ambapo ni jirani na kitivo cha Elimu (collage of education COED) Tumependekeza eneo hili kuona ndio sehem ya kuwapata wanachuo kiurahisi pia ndio kitivo chenye wanafunzi wengi katika vitivo vyote, Pia hatutaishia hapo tu tumepanga kufungua ofisi nyingine katika eneo la Ujasi iliyopo katika kitivo cha Sayansi ya Sanaa ya lugha (collage of humanities and social sciencies). Ofisi zote hizo zitakuw ni kwa ajiri ya kuzalisha bidhaa zetu.
PILI, awali tulikuwa tukifungashia sabuni zetu katika makopo ya Maji ya Dassan, Kilimanjaro nk kwa sasa tumepanga kupata vifungashio vya kwetu wenyewe ambavyo tumepanga kubandika logo yetu ambayo itakuwa na jina la bidhaa yetu pamoja na mawasiliano na namna ya kutupata, tutalocate tunapatikana wapi na mitaa ipi, hii itakuwa ni kwa ajiri ya wale watakaopenda bidhaa yetu, na tutakuwa tayari kumpelekea mteja bidhaa popote alipo.
TATU, kabla ya kuanza kusambaza bidhaa yetu tumepanga kuchapisha vipeperushi vingi ambavyo vitakuwa na maelezo juu ya bidhaa yetu ina ubora gani na inatumika kwa matumizi gani ambapo vipeperushi tutavigawa chuoni hapo katika collage zote na kuvisambaza mitaani kote, hivi tumelenga kutangaza bidhaa yetu, hata itakapoingia sokoni tayari wateja wetu wawe tayari wameshapata taarifa kuhusu bidhaa yetu,
NNE, Kuandaa video mjongeo kwa ajili ya matanagazo ya bidhaa yetu, video hizi za matangazo zitaonesha kwa ufupi namna bidhaa yetu inavyoandaliwa, na namna inavyofanya kazi, na kuanza kuzisambaza katika makundi ya whatssup ya chuo kikuu cha dodoma na Page za mitandao ya kijamii za udom na Dodoma kiujumla pamoja na page zetu sisi wenyewe pia katika Matangazo haya yatajumuisha Mawasiliano yetu.
TANO, Tutakapoingiza bidhaa yetu sokoni tutakuwa tayari kugawa bure baadhi ya sabuni kama sample kwa wateja wetu ili waweze kutumia na kuona ubora wake na hapo ndio tutawapa uhuru wa kututafta ili wapate kununua bidhaa yetu!
*CHANGAMOTO ZINAZOTUKABILI AMBAZO KWA ATAKAEGUSWA ANAWEZA KUTUSAIDIA KIMAWAZO AU KIUCHUMI PIA.*
KWANZA, Namna ya Kupata vifungashio plane yaani vifungashio visivyokuwa na nembo ya kampuni yeyote kwa ajili ya kuwekea bidhaa yetu, hapa vinaitajika vifungashio vya Nusu lita, lita moja, na lita Tano. Hivyo tungependa kupata namna ya kupata vifungashio hivyo.
PILI, ili kuboresha bidhaa yetu na kuipa thamani na ubora tulipendekeza kuwa na nembo yetu (logo) ambayo itakuwa na jina la bidhaa yetu pamoja na mawasiliano ya kutupata kwa atakaehitaji bidhaa yetu, hivyo tunapenda kupata msaada wa mtu atakaetutengenezea logo au namna ya kumpata mtaalamu wa Logo designer.
TATU, Sehem ambayo tunaweza kupata Material kwa bei nafuu ambayo ni affordable kwani Kwa Dodoma material yanapatikana kwa Bei ghali sana, ambapo material hayo ni haya hapa *SULPHINIC ACID, GRICELINE, SODAASH, RANG, CHUNVI MAWE, SLESS, PERFUME, NA FORMALIN,*
Kwa Msamalia ambae anaweza kutusaidia namna ya kupata material haya kwa bei nafuu pia atakuwa ametusaidia kufanikisha ndoto zetu.
NNE. Kubwa zaidi ni namna ya kupata kujisajili katika shilika la viwango Tanzania TBS ili kuwa huru kusambaza bidhaa yetu popote pasipokuwepo na shida.
*PIA TUTAKUWA TAYARI KUKULETEA BIDHAA YETU KWA YEYOTE ATAKAEGUSWA NA MAWAZO YETU NA AKAPENDA KUTUPA NAFASI YA KUMTENGENEZEA SABUNI KWA AJILI YA MATUMIZI YA NYUMBANI KWAKO, HOTELINI KWAKO, AU OFSINI KWAKO, TUTAKUFIKISHIA SAMPLE YETU BURE BILA MALIPO KWA AJILI YA MAJARIBIO.*
*KIPAUMBELE ZAIDI NI KWA WAKAZI WA JIJI LA DODOMA NA MIKOA YA JIRANI, LAKINI PIA NA KWAKO ULIEPO MBALI TUPO TAYARI KUKUTUMIA IKIWA UTATUPA USHIRIKIANO WA NAMNA YA KUKUFIKISHIA SAMPLE YA BIDHAA YETU*
*BEI ZETU ZITAKUWA NAFUU KABISA KWA ATAKAEPENDA BIDHAA YETU NA KUTUAMINI KWA KUTUPA NAFASI YA KUMTENGENEZEA SABUNI ZETU KWA MATUMIZI YA OFSINI KWAKE.*
Ni Matumaini yetu kuwa ndugu zetu Watanzania mtatushika Mkono katika hili kimawazo, na hata kiuchumi kwa watakaoguswa na wazo letu.
Mawasiliano yetu yatatolewa PM kwa atakaekuwa Tayari kutupata.
Ahsanteni.