Msaada: Kachoma sindano hatembei wiki ya tatu sasa

Msaada: Kachoma sindano hatembei wiki ya tatu sasa

MTENDAHAKI

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
4,013
Reaction score
1,447
Jamani kwa wataalamu naomba ushauri wa kitabibu,

Kuna binti alikuwa anasikia maumivu ya kiuno akaenda dispensary daktari akamchoma sindano (siikubuki jina) akampa na dawa za kutuliza maumivu. Lakini asubuhi yake binti kachindwa kuamka kitandani wiki ya tatu sasa. Alirudi hospitali daktari. akasema haelewi ni nini kimemkumba, akapewa referal kwenda hospitali ya rufaa nako wakasema hawaoni tatizo.

Lakini binti miguu imetepeta kabisa ingawa anasikia maumivu. Tukashauriwa tuangalie tiba mbadala ambako alipimwa kwa kipimo chao cha kuscan (wasabato) na kapewa dawa na kufanyishwa mazoezi sasa.Kuna maendeleo kidogo kwani angalu ukimsimamisha anaweza kuvumilia sekunde tano hivi. Lakini bado hawezi hata kuchezesha vidole vya miguu.
 
Sindano alichomwa vibaya.Kumbuka kuwa nesi akichoma sindano vibaya miguu inapooza.pole sana!
 
Duuh sindano ya kiunoni n mbaya sn huchelew kuparalaiz ucpopata mchomaji mzuri. hyo n hatari sn akazane na hzo tiba anazopewa asa hv
 
MTENDAHAKI

Kuna nerve ilijeruhiwa, na Kama alichomwa nyuma chini ya kiuno kuna mshipa wa fahamu unaitwa sciatic nerve unaweza kuwa uliguswa.

Nini cha kufanya?? Unahitaji kustua nerve kwa kutumia mashine maalum yaani nerve electrifier pamoja na mazoezi mengine ili nerve ifanye kazi yake sawia.

Wapi uende?? Inategemea na nji uliopo.

Muone PHYSIOTHERAPIST ndo mambo waliobobea
 
Last edited by a moderator:
Mungu aingilie kati kwenye jambo hili. Najua matibabu ni lazima ila akimshikisha Mungu atakuwa salama zaidi.

Mungu ni muweza wa yote.

Ameen.
 
Pole sana, inaweza ikawa wrong site injection ikapelekea nerve damage ndiyo maana kapata Paralysis.

This is serious hivyo atafute mtaalamu aliyebobea katika mambo ya nerve amsaidie ingawa nerve damage ni ngumu sana kupona , it leads to permanent disability....
 
pole sana....Anatomy problem kwa wauguzi wa mtaani kwa kawaida juu kdogo kama syo chini ya kiuno kuna SCIATIC NERVES ..hizi nerves uki zi disturb during IM( intramuscular injection) sindano za mishipa huwa zna mfanya mtu ana paralysis na mara nying paralse huanzia hapo hapo alpo chomwa nakushindwa kutembea.....na mpa pole sana maana kupona ni shughli sana..!!
 
Pole sana, inaweza ikawa wrong site injection ikapelekea nerve damage ndiyo maana kapata Paralysis.

This is serious hivyo atafute mtaalamu aliyebobea katika mambo ya nerve amsaidie ingawa nerve damage ni ngumu sana kupona , it leads to permanent disability....

Ndio maana naziogopa sana sindano. Niliwahi kudungwa sindano ya qwinine mguu ukafa ganzi kwa muda.
 
Muuguzi huyu sio mzoefu , hospital nyingi za mtaani wanakosea wanachoma sciatic nerve ...

Alichomwa na dactari au nurse ?
 
Physiotherapy hopefully itamsaidia , .. Though inachukua muda kupona
 
Pole sana aisee.

Hivi kuna hospitals za mtaani na za msituni?

Maana kila mtu analaumu mahali zilipo hospitals as if kuna vyuo vinafundisha madaktari/manesi kwa ajili ya hizo hospitals za mtaani.
 
MTENDAHAKI

Kuna nerve ilijeruhiwa, na Kama alichomwa nyuma chini ya kiuno kuna mshipa wa fahamu unaitwa sciatic nerve unaweza kuwa uliguswa.

Nini cha kufanya?? Unahitaji kustua nerve kwa kutumia mashine maalum yaani nerve electrifier pamoja na mazoezi mengine ili nerve ifanye kazi yake sawia.

Wapi uende?? Inategemea na nji uliopo.

Muone PHYSIOTHERAPIST ndo mambo waliobobea

Well said mkuu, tatizo ni hilo.
 
Back
Top Bottom