STAPHORD MJ
New Member
- Apr 4, 2015
- 3
- 5
Ndugu yangu amefanya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu kama Private Candidate na kufaulu kwa DIV 3 ya point 13, lakini cheti chake cha O-leve ana ufaulu wa masomo matatu tu yaani ana C za masomo matatu t.
Amejaribu kuomba chuo kimoja wamemwambia kuwa hana sifa kutokana na huo ufaulu wa O-level.
Sasa naomba ufafanuzi zaidi. Je, ufaulu unaoangaliwa hapo ni wa O-level au ni wa A-leve maana A-level amefaulu tu na ana sifa.
Ahsanteni.