STAPHORD MJ
New Member
- Apr 4, 2015
- 3
- 5
ok lakini huyu yeye aliomba CUoM na RUCU ndo wamemwambia kuwa hana sifa ya kidato cha nne hali ya kuwa kidato cha sita ana sifa ya hizo point 4Matokeo ya form 4 yana matter zaidi,vyuo kama udsm wana consider sana matokeo ya form 4.
Unatakiwa Olevel uwe na minimum ya 4 credit au principal pass. Sasa yeye ana 3 credit na pia ukute ni za masoma ambayo pia hayaendani na comb aliyosoma advance.ok lakini huyu yeye aliomba CUoM na RUCU ndo wamemwambia kuwa hana sifa ya kidato cha nne hali ya kuwa kidato cha sita ana sifa ya hizo point 4
SUA NI EASY KUINGIA ILA KUTOKA SALAMA NI MAJAALIWA KWAHIYO MWAMBIE AGUSE SUANdugu yangu amefanya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu kama Private Candidate na kufaulu kwa DIV 3 ya point 13, lakini cheti chake cha O-leve ana ufaulu wa masomo matatu tu yaani ana C za masomo matatu t.
Amejaribu kuomba chuo kimoja wamemwambia kuwa hana sifa kutokana na huo ufaulu wa O-level.
Sasa naomba ufafanuzi zaidi. Je, ufaulu unaoangaliwa hapo ni wa O-level au ni wa A-leve maana A-level amefaulu tu na ana sifa.
Ahsanteni.
ok,kwa maana hiyo hapo hakuna namna ya kuweza kupata chuo kwa mwaka huuIlitakiwa wakat anasoma private candidate advance awe anarisiti form 4 kupata walau D 1 au 2 hapo angekua n sifa
Jaribu kuwa wazi, kidato cha nne alipata division gani ya point ngapi? Alifaulu masomo gani, na sasa anaomba course gani?Unaposema mara alipata credit, mara point nne hatuelewi tukushaurije. Mtu akipata credit tatu tu ni sawa na kupata div. IV. Point 29.ok lakini huyu yeye aliomba CUoM na RUCU ndo wamemwambia kuwa hana sifa ya kidato cha nne hali ya kuwa kidato cha sita ana sifa ya hizo point 4
Vyuo vyote vikuu vinaongozwa kwa vigezo vya TCU (Tume ya vyuo vikuu) ambayo uweka vigezo. Kigezo kimojawapo ni ufaulu wa kidato cha nne. Sasa wewe kama alifeli sana kidato cha nne na hakufanya juhudi za kureseat kutafuta credit wezeshi alafu ukampeleka Advanced za private ambazo wao wanaangalia hela! Sasa hapo utakuwa umepigwa!Ndugu yangu amefanya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu kama Private Candidate na kufaulu kwa DIV 3 ya point 13, lakini cheti chake cha O-leve ana ufaulu wa masomo matatu tu yaani ana C za masomo matatu t.
Amejaribu kuomba chuo kimoja wamemwambia kuwa hana sifa kutokana na huo ufaulu wa O-level.
Sasa naomba ufafanuzi zaidi. Je, ufaulu unaoangaliwa hapo ni wa O-level au ni wa A-leve maana A-level amefaulu tu na ana sifa.
Ahsanteni.
vigezo vya nacte form 4 lazma awe na pass ya masomo manne hatakama ana d4 bila ya somo la dini lakini hizo c 3 lazma ahangaike aiseeNdugu yangu amefanya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu kama Private Candidate na kufaulu kwa DIV 3 ya point 13, lakini cheti chake cha O-leve ana ufaulu wa masomo matatu tu yaani ana C za masomo matatu t.
Amejaribu kuomba chuo kimoja wamemwambia kuwa hana sifa kutokana na huo ufaulu wa O-level.
Sasa naomba ufafanuzi zaidi. Je, ufaulu unaoangaliwa hapo ni wa O-level au ni wa A-leve maana A-level amefaulu tu na ana sifa.
Ahsanteni.
Wenye D4 ndo watakuelewa achana na wale wenye D2 za kwenda veta, sifa uwe na D4 yaani pass masomo minimumok lakini huyu yeye aliomba CUoM na RUCU ndo wamemwambia kuwa hana sifa ya kidato cha nne hali ya kuwa kidato cha sita ana sifa ya hizo point 4
Sio udsm tu bali ni mfumo wetu wote wa elimu inatakiwa awe na pass 5 za o-level kwanza ndo sifa zingine za ziada zinafuataMatokeo ya form 4 yana matter zaidi,vyuo kama udsm wana consider sana matokeo ya form