Msaada kama kuna tiba au ushauri juu ya hili.

AL AM

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
252
Reaction score
300
He
 

Attachments

  • IMG_20190125_164801_8~2.jpeg
    67.8 KB · Views: 53
  • IMG_20190125_164702_4~2.jpeg
    83.3 KB · Views: 59
Ulienda hospital gani? Jitahidi uende hospital kubwa ya rufaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unaweza nenda hospital kafanye kipimo cha Echocardiogram pia kacheki cardiac ,liver enzymes na blood potassium level .naona pia kuna p-mitrale hapo kwenye ECG yako na viashiria vya pericarditis. tafuta cardiologist mkuu atakusaidia tena usipoteze muda


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Asante nashukuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikonda tangu lini wakapiga ECG kienyeji kama hivyo, wala haukuwa registered!!! Lakini pia huenda dalili zako ndio hazioneshi ulazima wa dawa.
Kama uko hii mikoa ya nyanda za juu kusini, achana na Ikonda, nenda Afya Medcare (iko maeneo ya mandela makambako), au nenda Mbeya hospitali ya rufaa.
Kote huko ukiona bado mambo hayakai sawa, check me PM kwa ushauri zaidi
Nilienda ikonda

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!ahsante dokta
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…