angelita JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 3,017 Reaction score 2,432 Nov 9, 2013 #1 Habari wanajf..! Niko dar naitaji msaada toka kwa mtu anayefanya biashara ya kuuza viatu vya kina dada,Kama upo naomba nipm namba yako.
Habari wanajf..! Niko dar naitaji msaada toka kwa mtu anayefanya biashara ya kuuza viatu vya kina dada,Kama upo naomba nipm namba yako.
A Aneman Member Joined Feb 10, 2012 Posts 24 Reaction score 5 Nov 9, 2013 #2 Viatu vya aina gani? Vya dukani au mtumba? Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
angelita JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 3,017 Reaction score 2,432 Nov 9, 2013 Thread starter #3 Aneman said: Viatu vya aina gani? Vya dukani au mtumba? Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums Click to expand... Mtumba
Aneman said: Viatu vya aina gani? Vya dukani au mtumba? Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums Click to expand... Mtumba