E emkey JF-Expert Member Joined Mar 15, 2011 Posts 728 Reaction score 137 May 18, 2013 #1 mimi ni mwajiriwa wa halmashauri ya ulanga, nimeanza kazi zaidi ya miaka 5 ilopita, sijapandishwa daraja kwa uzembe wa afisa utumishi wangu, je naweza kumshtaki na kumdai fidia kwa kunifanyia dhulma ya wazi wazi? naombeni mawazo yenye kufaa wanajf.
mimi ni mwajiriwa wa halmashauri ya ulanga, nimeanza kazi zaidi ya miaka 5 ilopita, sijapandishwa daraja kwa uzembe wa afisa utumishi wangu, je naweza kumshtaki na kumdai fidia kwa kunifanyia dhulma ya wazi wazi? naombeni mawazo yenye kufaa wanajf.
M MAMU35 Member Joined Feb 6, 2011 Posts 63 Reaction score 6 May 21, 2013 #2 OPRAS huwa unajaza? na umeshawahi kumwandikia barua?
H HENRY SIMON New Member Joined May 21, 2013 Posts 4 Reaction score 0 May 23, 2013 #3 Kama unavielelezo, nenda kwenye chama chako kama ni cwt,talgwu,nk. Utasaidiwa,kabla ujaenda mahakamani.
Kama unavielelezo, nenda kwenye chama chako kama ni cwt,talgwu,nk. Utasaidiwa,kabla ujaenda mahakamani.