Habarini vijana wenzangu,poleni na
mchakato mzima wa ujazaji hizi fomu
za helsb kwakuwa zimekuwa na
changamoto tofauti.
Sasa kwa wale ambao katika fomu
wamejaza details zao na kisha ku thibitisha(confirm) taarifa ambazo kwa
namna moja ama nyingine zimekosewa
naomba kusema kuwa huwezi kufanya
marekebisho yoyote,
angalizo,huwezi ku print fomu kama
hujakamilisha kuijaza na pia kufanya confirmation.
Ushauri wangu hawa bodi mara nyingi
ni watu wepesi kukusikiliza shida yako
na kukuahid watalishughulikia tatizo
lako lakin nikwambie utangoja milele,,
wiki tatu zilizopita niliwapigia simu akapokea dada mmoja kumueleza
tatizo hili akasema kitengo cha IT
wanaliweka sawa subiri after a week
utaweza ku edit,sasa zimepita siku na
muda huo wa mwisho unakaribia ,cha
msingi rafiki jifanye mwehu tu chukua collection fluids futa ulipokosea ingiza
taarifa sahihi katika fomu ambatanisha
taarifa muhimu subiri mpaka tar 30
june muda wa kusubiri kama itawekwa
sehemu ya edit kama hawataweka
sehemu ya kuedit tuma rafiki,baadae huwa wanarudisha majina wenyew kwa
waliokosea kujaza na kuwapa muda wa
ku submit taarifa zenu upya pale ofisi
zao.
"HELSB KAZI NI KWAKO"