Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
Samsung galaxy A05sMostly hio budget hupati video camera nzuri kuliko simu. Unatumia simu gani sasa?
Unaweza tafuta simu mtumba flagship ya zamani, simu kama Aquos R6 na R7 zina camera sesnor ya Inch 1 zitakupa results nzuri sana kwa chini ya laki 3. Tafuta tu vifaa vingine kama Tripod, Taa etcSamsung galaxy A05s
Shukurani kiongozi, nitajaribu kuiulizia hiyo simu kwenye maduka ya mtumba kama naweza kuipata, maana maduka ya simu used ni machache sana.Unaweza tafuta simu mtumba flagship ya zamani, simu kama Aquos R6 na R7 zina camera sesnor ya Inch 1 zitakupa results nzuri sana kwa chini ya laki 3. Tafuta tu vifaa vingine kama Tripod, Taa etc
Ah mkuu wewe acha tu usipige kelele, isije rais wa wazurulaji Intelligent businessman akauvamia huu uzi akanitoa kwenye reli.Tajiri namna gani tena?
Ndio pixel 6 itakua improvements kubwa sana toka A05s.Shukurani kiongozi, nitajaribu kuiulizia hiyo simu kwenye maduka ya mtumba kama naweza kuipata, maana maduka ya simu used ni machache sana.
Pia kuna mtu anaiuza Google pixel 6, japo nasikia kuhusu sifa ya kamera ya hii simu lakini Sijajua kama naweza kupata ubora na muonekano wa utofauti zaidi wa video ukilinganisha na hii A05s.
Unaweza kunishauri hapo kiongozi.
Ahaa sawa, asante kwa mchango wako mkuu.Ndio pixel 6 itakua improvements kubwa sana toka A05s.
Nayo ni flagship level camera.