Habari wakuu; ninataka kufunga tracking system kwenye gari yangu ndogo ambayo naikodisha. Nimegoogle nikapata kampuni kadhaa hapa (Cartrack, U-track, Afritrack, Wetrack). Ninaomba wenye uzoefu na hizi kampuni wanisaidie ipi hapa iko poa zaidi. Na kama kuna kampuni zingine pia naomba mapendekezo. Ahsanteni!