Habari wakuu; ninataka kufunga tracking system kwenye gari yangu ndogo ambayo naikodisha. Nimegoogle nikapata kampuni kadhaa hapa (Cartrack, U-track, Afritrack, Wetrack). Ninaomba wenye uzoefu na hizi kampuni wanisaidie ipi hapa iko poa zaidi. Na kama kuna kampuni zingine pia naomba mapendekezo. Ahsanteni!
Tramigo!! hawa wako wapi mkuu?The best ni tramigo
Kabisa mkuu. Sitaki hizo za kuuziwa na wachina halafu platform isumbue baadae. Jamaa yangu mmoja alinnua china akaja kufunga, baadae ile platform ikawa offline so hawezi kuona gari yake. Ndo maana nataka local service provider ili niwe na uhakikaTramigo ni brand ya GPS device mdau kauliza local company inayofunga GPS
Hii yako inafanyaje kazi? Malipo ni bei gani?Nipe kazi nafunga car track system ya Russia bei poaView attachment 1600803
Kabisa mkuu. Sitaki hizo za kuuziwa na wachina halafu platform isumbue baadae. Jamaa yangu mmoja alinnua china akaja kufunga, baadae ile platform ikawa offline so hawezi kuona gari yake. Ndo maana nataka local service provider ili niwe na uhakika
Tunafunga gps unaweza nipigia kwa simu 0714890018. Bei nzuri na tracking platform ya uhakika bei aound 200,000 . Inategemea na features unazohitajiHii yako inafanyaje kazi? Malipo ni bei gani?
Sijui namie nifunge.Tunafunga gps unaweza nipigia kwa simu 0714890018. Bei nzuri na tracking platform ya uhakika bei aound 200,000 . Inategemea na features unazohitaji
Sijui namie nifunge.
Kwenye gari yangu ndogo (babywoka)Kwenye nn