Royal Warrior JF-Expert Member Joined Nov 19, 2015 Posts 1,166 Reaction score 2,143 Jan 8, 2021 #1 Habari zenu wakuu, Nahitaji kusafairisha kiroba cha kilo 50 (nguo) kuepeleka OMAN. Nipo Dar, ila kama hiyo kampuni itakua na branch Zanzibar itakua vizuri zaidi. Mwenye kufahamu naomba anijuze. Natanguliza shukrani
Habari zenu wakuu, Nahitaji kusafairisha kiroba cha kilo 50 (nguo) kuepeleka OMAN. Nipo Dar, ila kama hiyo kampuni itakua na branch Zanzibar itakua vizuri zaidi. Mwenye kufahamu naomba anijuze. Natanguliza shukrani
Kijana Mpole JF-Expert Member Joined Nov 17, 2016 Posts 235 Reaction score 212 Jan 8, 2021 #2 Royal Warrior said: Habari zenu wakuu, Nahitaji kusafairisha kiroba cha kilo 50 (nguo) kuepeleka OMAN. Nipo Dar, ila kama hiyo kampuni itakua na branch Zanzibar itakua vizuri zaidi. Mwenye kufahamu naomba anijuze. Natanguliza shukrani Click to expand... Wale silent ocean nadhan wanasafirisha mpaka huko waone mkuu
Royal Warrior said: Habari zenu wakuu, Nahitaji kusafairisha kiroba cha kilo 50 (nguo) kuepeleka OMAN. Nipo Dar, ila kama hiyo kampuni itakua na branch Zanzibar itakua vizuri zaidi. Mwenye kufahamu naomba anijuze. Natanguliza shukrani Click to expand... Wale silent ocean nadhan wanasafirisha mpaka huko waone mkuu
spray JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 277 Reaction score 241 Jan 8, 2021 #3 Tuma kwa ndege Huo mzigo mdogo sana Waone oman air