Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,001
DuuhKama umekosa kanisa ulizia msikiti zote ni nyumba ya ibada zama ndani kafanye ibada yako Kisha ondoka
Hata jf pia inasaidia,Sasa mkuu suala la mahali lilipo kanisa ni hadi jf? Bahati nzuri uko sehemu husika bora hata umkodi bodaboda akupeleke