Msaada: Kapangiwa Shule Ambayo haina Combination Husika

Msaada: Kapangiwa Shule Ambayo haina Combination Husika

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,437
Reaction score
2,043
Wanajmvi !

Msaada wako hapo !

Hatua zipi zakufuata ili Kubadilishiwa shule !

PCB

------------ update ------------

NIMEPATA TAARIFA KWAMBA NI COMBINATION MPYA ! KTK SHULE HIYO !
 
Hiyo comb. nadhani ndo inaanza hapo shuleni, aende tu. Hata sisi hatuna comb za science lakini tumeomba kuletewa wanafunzi wa science ili tuanzishe hizo comb.
 
Wanajmvi !

Msaada wako hapo !

Hatua zipi zakufuata ili Kubadilishiwa shule !

PCB ---> Tunduru High School
afu tunduru haina mchepuo wa PCB !

Kama unasoma PCB shule yenye kuanzisha iyo combinations mkuu hama.coz hiyo kitu inaitaji msuli,walimu wa kutosho,na laboratory.so angalia usipate ziro huko ukawa ndio tester wao
 
Kama unasoma PCB shule yenye kuanzisha iyo combinations mkuu hama.coz hiyo kitu inaitaji msuli,walimu wa kutosho,na laboratory.so angalia usipate ziro huko ukawa ndio tester wao

point....afanye ashughulikie uhamisho faster
 
Kama unasoma PCB shule yenye kuanzisha iyo combinations mkuu hama.coz hiyo kitu inaitaji msuli,walimu wa kutosho,na laboratory.so angalia usipate ziro huko ukawa ndio tester wao

Hamna lolote. inamaana unataka tuamini wote waliochaguliwa kusama pcb katika hiyo shule wasipo hama watapata ziro? mwambie basi na hizo shule zenye walim wa kutosha na laboratory ila ahamie. Nashauri akasome tu. kama ni wa kufaulu atafaulu na kama ni wa kufeli atafeli tu hata kama akienda kwa walim wengi na lAboratories. by the way msuli wa advance ni kula kwa uwezo wa kamba yako.
 
Msuli hauna uhusiano na kutokuwepo walimu wa kutosha au mchepuo ndy kuwa unaanza,pia hakuna shule ya serikali

yenye walimu wa kutosha hasa wa sayansi laboratory yenyewe siyo issue shule za serikali mnaanza kusoma hayo mambo

mwezi kabla ya pepa kama wanafunzi wa o - level hapo huwa wanafanya practical hiyo lab inatosha.

Ushauri kama anataka apate 90% kutoka shuleni aende private,lakini kama anataka kujitafutia mwenyew 75% na 25%

apate shule aende shule yeyote ya serikali.

Kama unasoma PCB shule yenye kuanzisha iyo combinations mkuu hama.coz hiyo kitu inaitaji msuli,walimu wa kutosho,na laboratory.so angalia usipate ziro huko ukawa ndio tester wao
 
wakuu nifahamisheni na mimi vipi niende huko Tunduru ,maana ninachukua CBG na nimepangiwa huko.
 
wakuu nifahamisheni na mimi vipi niende huko Tunduru ,maana ninachukua CBG na nimepangiwa huko.

Combinations za science ndo zinaanza mwaka huu !

Afu nicheki PM tuongee vizuri !
 
Back
Top Bottom