Hahaha, usifanye hivyo tafadhal, nlpatwa na kijitatzo, ntakuPM unipe ushauri. Sitaki kumwaga mchele. Nisamehe sana babu.Sweetlady niko hapa.
Nna mpango wa kuwakodi Majembe Auction Mart waje wanisaidie kudai deni langu.
Hahaha, usifanye hivyo tafadhal, nlpatwa na kijitatzo, ntakuPM unipe ushauri. Sitaki kumwaga mchele. Nisamehe sana babu.
AMINA!Umesamehewa dhambi zako zote za juzi, jana, leo na utakazotenda kesho na kesho kutwa.....Sema AMINA.
AMINA!
Aksante kwa msamaha babu na Mungu azidi kukubariki.
Nitaacha babu, sitaki kumkwaza babu, leo mwisho.Ila uache tabia ya kuPost Via Mobile. Unamkwaza babu.
Mheshimiwa, ulikosea kwenye msingi sasa hata ukiziba nyufa bado haitasaidi!
Cha kufanya chukua hatua ya kumuweka chini na hata akija juu au akikujibu majibu ya mkato demand ujue ukweli, una haki na wajibu wa kujua ukweli kuhusu mwenzako. kumbuka nyie SIO WAWILI TENA BALI NI MWILI MMOJA, SASA SIRI ZA NINI?