MSAADA: kati ya bachalor of vetenary medicine(BVM) na bachalor of science with nursing

Dindai

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
931
Reaction score
1,659
Habari zen wana jf, Nimehitimu kidato cha sita mwaka huu,na iwapo nitafaulu ningependa kusoma kati ya hizo course je ni ipi nzuri kwa upatikanaji wa ajira na mshahara mzuri? Ushauri tafadhari!
 
Soma nursing,ajira zake ziko tele.
 
Zote zinalipa maana wagonjwa wapo wa kumwaga na mifugo nayo pia ni ya kumwaga na bachellor zote hizo ni miaka mitano plus viapo
 
Nursing ni miaka mitatu au minne. Bvm ni mitano ila kama uliacha physics form two nursing itakuwa ishu. Pia kama huwezi kuvumila kuona watu wakifa nenda bvm tu. Kitoweo nyumbani kwako kitakuwa hakikosekani.
 
karibu BVM doGO ! Utanikuta coz imetulia mbaya and nitakuandalia simbi za kutosha
 
Hahahahaaaaaa, coz zote nzuri, ILA KUMBUKA BVM itakulazimu uende SUA, Ulizia mziki wa sua, SOKOINE UNIVERSITY OF ASSIGNMENTS, Disco nje nje.
 
Usitishiwe nyau dogo ,bvm ndo kila kitu,sema watu wengi wanaogopa bure,utapata kazi ya ukweli si lazima uwe dvo
 
Tofauti na dvo kazi zipi pia mtu wa BVM anaweza kuzifanya?
 
Habari zen wana jf,
Nimehitimu kidato cha sita mwaka huu,na iwapo nitafaulu ningependa
kusoma kati ya hizo course je ni ipi nzuri kwa upatikanaji wa ajira na
mshahara mzuri? Ushauri tafadhari!

ungelikuwa kwenye ambayo inategemea mifugo ktk uchumi wake kama Botswana
ningekushauri upige kitu cha sua cha BVM,kibofongo mifugo sio
kipaumbele cha serikali mzee,gonga nursing kwani hata mbefele ajira ni
za kumwaga na infact alhamdulilai inalipa,kazi ni kwako dogo
 
Nursing ni miaka mitatu au minne. Bvm ni mitano ila kama uliacha physics form two nursing itakuwa ishu. Pia kama huwezi kuvumila kuona watu wakifa nenda bvm tu. Kitoweo nyumbani kwako kitakuwa hakikosekani.

Nikupe nini mkuu? Ushauri wako ni mzito sana!
 
Karibu sua. Uage unakuja short course 7bu.,

kwa nini unasema niage nakuja short course
 
Nikupe nini mkuu? Ushauri wako ni mzito sana!

mkuu fanya mpango uniunganishie kwa madame b tu!! Unajua wadogo zetu inabidi kuwashauri pande zote ili achague. Kuna shule ni tamu kuzisoma ila kuziishi ni chungu.
 
Habari zen wana jf, Nimehitimu kidato cha sita mwaka huu,na iwapo nitafaulu ningependa kusoma kati ya hizo course je ni ipi nzuri kwa upatikanaji wa ajira na mshahara mzuri? Ushauri tafadhari!
nursing ni nzuri ila sio kama veterinary medicine!!! nursing ina ajira na zinalipa ila huwezi linganisha na BVM!!! kama una nia na kama utajitambua hasa ukiwa chuo nakushauri ukasome BVM!!! swali rahisi tu,,,ni vyuo vingapi hapa tz AU HATA africa mashariki vinatoa veterinary med(BVM) na vyuo vingapi hapa bongo vinatoa nursing??? USHAURI WANGU UKIFAULU KASOME VETERINARY MEDICINE(BVM).....all the best!!!!
 
Nursing ni miaka mitatu au minne. Bvm ni mitano ila kama uliacha physics form two nursing itakuwa ishu. Pia kama huwezi kuvumila kuona watu wakifa nenda bvm tu. Kitoweo nyumbani kwako kitakuwa hakikosekani.
BVM mtu wa CBG anasoma vizuri kabisa!!!
 
nursing achie wanawake, yeye akakomae na BVM kule university of assignments=SUA
 
BVM ni ngumu kuliko hata MD, ila ina nafasi kubwa ya ajira.Ninavyojua kusoma Bsc. Nursing ni lazima uwe na diploma ya nursing,sijui kama mfumo umebadilika.Kama unafit kwenye BVM kwanini usisome MD.zote zina uhakika wa ajira.Ila BVM italipa zaidi kama una lengo la kuwa lecturer au uanzishe private clinic badala ya kuajiriwa na serikali.
Habari zen wana jf, Nimehitimu kidato cha sita mwaka huu,na iwapo nitafaulu ningependa kusoma kati ya hizo course je ni ipi nzuri kwa upatikanaji wa ajira na mshahara mzuri? Ushauri tafadhari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…