Aysenem
Senior Member
- Dec 19, 2019
- 140
- 171
Wakuu za mwaka mpya,
Mwenzangu anataka kufanya biashara ya boda boda sasa ameniomba ushauri anunue used 2 au mpya moja na ana 1.8 M. Mimi nimemwambia anipe muda ili nimshauri vizuri, kwa kuwa mimi sijui chochote kuhusiana na biashara hii nikaona nije huku wakuu. Naomba pia kujuzwa utaratibu wa vibali
Nawasilisha