Msaada: kati ya corse iz mbili

B the Don

Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
79
Reaction score
4
Samahanin wanajamvi! kati ya corse ya bachelor of science in nursing na bachelor of science in labolatory technology ipi kati ya iz ni nzuri ukifokasi kwenye upatikanaji wa ajira, kujiendeleza, na masrayi yake(salary). Naomben msaada wenu.
 
U'll never regret when you take nursing....
Ajira za kutosha...
Pesa ya kukupush atleast hatua kadhaa ni nzuri...
Kupata kitengo cha maana ni kugusa tu coz wengi waliopo wana cert na dipl...

Narudia tena you'll never regret when you take nursing
 
Asante kwa mchango wako.
 
jaman naombeni mnisaidie mnaofaham kuhusu hii thread inavyojieleza mbona kimya!
 
Samahanin wanajamvi! kati ya corse ya bachelor of science in nursing na bachelor of science in labolatory technology ipi kati ya iz ni nzuri ukifokasi kwenye upatikanaji wa ajira, kujiendeleza, na masrayi yake(salary). Naomben msaada wenu.

generaly hakuna tofauti kubwa,lakini mtu mwenye bachelor nursing ana advantage fulani fulani(project nyingi zinazohusiana na afya ie reproductive and child health,male circumsion,HIV/AIDS,maternal health,immunization etc nurse hasa mwenye digrii anahitajika kwa sana)hizi ni baadhi ya project kubwa zenye mshiko wa kutosha.
 
ukifokasi,masrayi ndiyo nini sasa?
NB:andika vizuri kama mtu anayetaka ajira/kujiajiri hueleweki,hii itakuandaa vizuri siku ya interview utakapokuwa ukihitaji kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…